2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


Kigamboni kisiwani ๐น๐ฟ
Nyumba inapangishwa
Ina vyumba viwili kimoja master sebule jiko public toilet
Ipo karibu na lami
Parking yakutosha
Umeme unajitegemea
Full A\C
Bei elekezi 550k miezi 3