2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


♦️NYUMBA IPO KIGAMBONI KISOTA INAPANGISHWA
♦️INAJITEGEMEYA KILA KITU UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI
♦️INA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SEBURE NA JIKO LAKE KWA 300K TU BOSS WANG
♦️KODI KUAZIA MIEZI 6 NAKUENDELEA BOSS WNG
♦️KUTOKA BARABARA KUBWA YA KWENDA FERRY UKISHUKA KWE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 5
♦️MALIPO YA DALALI CHAPAPA 300K SURVEY 20K
☎️0750 886 103