2 Bedrooms House for Rent at Kilimanjaro, Kilimanjaro


NYUMBA NZURI YA KISASA ILIYOPO KCMC
NYUMBA INA VYUMBA VI 2 KIMOJA WAPO NI MASTER,
KWENYE COMPOUND ZIPO NYUMBA 2 TUU. HAMSHEI MAJI WALA UMEME.
NYUMBA INA FULL TILLES NA UZIO WA UKUTA NA GATE.
BEI NI: 400,000 NA MALIPO MIEZI 3 AU ZAIDI.
WASILIANA NAMI 0625369161
MOSHI- KILIMANJARO.