2 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani
#STAND_ALONE/INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #100k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea kila kitu ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 1 Boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167