2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA
KODI 300,000 × 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
DISTANCE: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA MLANGO TEKE
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET YA NDANI 🚻
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️HAKUNA UZIO
✔️MAZINGIRA TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp