2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM. 1 TUU KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BAJAJI NOHA TZS 700/= BODA BODA ELFU 1000 /= TUU.
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBLE KUBWA SANA MNO YA KUJIACHIA
#JIKO KUBWA NZURI LA KISASA
#CHOO CHA PUBLIC KIPO NJE KWA PEMBENI
#TILES SAFI
#SLAIDING WINDOWS
#GYPSUM BORDER
#PARKING SPACE IPO
#NDANI YA FENCE YA WAYA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 250,000 /=X"6"
CONTACT US :0625606710
WHATSAPP :0783794666