2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


400,000x4
——
💥 KODI KWA SASA NI Tsh. 400,000/= × 4 TU) NYUMBA NZURI SANAA ZA KISASA MPYAAA ZINAPANGISHWA
🌍LOCATION: NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI UPO SAA 24
BAJAJI 700/= UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
BODABODA 1000/=
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#KABATI LA NGUO CHUMBANI
✔️ FENI ZA JUU
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
✔️ NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ FULL PAVING BLOCKS NA GARDEN SAFI
KODI 400,000/=×4
ILIPWE LAKI NNE TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI MINNE NA KUENDELEA
📞CONTACTS
📞 Calls # 0759151524
Whatsapp # 0679 956 863