2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
DK 13 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
======
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
NA PABLICK TOILET
=====
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI WAPANGAJI 5
KODI 350,000/= X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
====
CONT
0683234124
0718367179