2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA BEI KITONGA 200K X6 WAI NDUGU MTEJA
ILIPWE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
SIFAZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME LUKU YAKO MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI NYUMBA HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
GARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347