2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW NEW APARTMENT NYUMBA MPYA KABISA BEBA PESA SOMA MAELEZO KWA MAKINI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA
(1)#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI AU KWA KIMARA KOROGWE BODA BUKU PIA
#(2) MASTER BED ROOM
CHUMBA CHENYE CHOO NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453