2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MPYA MPYA MPYA KABISA INAPANGISHWA
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500, Boda 1000
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI HAPA KUNA AINA TATU TOFAUTI
1.
SEBULE KUBWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA la KISASA
PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI 🚻
➡️KODI 600,000 × 6
2.
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI 🚻
➡️KODI 300,000 × 6
3.
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
JIKO KUBWA la KISASA
➡️KODI 200,000 × 6
NYUMBA ZOTE ZINAFUNGWA MAKABATI JIKONI
UMEME NA MAJI ZINAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
NB:
ZITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 20.01.2025
KUJA KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 🏃♂️🏃♀️
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp