2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA TEMBONI
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET YA NDANI
KODI 250,000X6
NYUMBA IPO KWENYE MABOLESHO MAFUNDI WAPO KASI SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347