2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844
#0657384670
.
#APARTMENT #MPYA ZA KUPANGA ZIPO KIMARA MWISHO
=======
#KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
=======
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDAN #PUBLIC TOILET.
========
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
======
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA, GARDEN INATENGENEZWA
===
#UMBALI NI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO
#USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI TAXS NOA DALADALA 500
=====
#SERVICE_CHARGE ELFU 20 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
========