2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA (400K X6)
KODI LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA PIA KUNA PESA YA TAHADHARI HAPA INAYOLIPWA SAMBAMBA NA KODI AMBAYO NI 400K
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#HEATER
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM PARKING SPACE IPO ZIPO APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENCE
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
O677370515
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU KUMI NA TANO MALIPO YA MIEZI KWA DALALI