2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE HIYO MPYA MPYA KABISA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UMBALI KILOMETERS 1
SIFA ZAKE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE KUBWA SANA INA AIC SEBLENI NA CHUMBANI INA MASTER NA CHOO PABLIK TOILET NYUMBA MPYA KABISA
BEI YAKE
LAKI NNE 400000x6 KODI MIEZI 6 HAKUNA PUNGUZO
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087