2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🔰STAND ALONE HOUSE Inapangishwa KIMARA BARUTI
📍Kodi: Tsh 500,000/=
📍Muda wa Malipo: Miezi 6
_________
___
• Vyumba 2 vya Kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule
• Jiko
* Inajitegemea UMEME na MaAji
* Maji yanatoka Ndani
* Ndani ya fensi Inajitegemea Yenyewe
* Parking
* Mazingira Mazuri
* Reserve Tank
#Umbali wa kutembea dakika 7 tu kwa miguu
____________
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 500,000/=
#Gharama ya kupelekwa kuona ni Tsh 15,000/=
№:- 0753172516