2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA  INAPANGISHWA VYUMBA  2 VYA KULALA VYOTE  NI MASTER  SEBLE JIKO MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
VYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE  UKISHUKA  DAKIKA 2 UPO KWENYE NYUMBA .  HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA  MAZINGIRA  MAZURI  USALAMA  ASILIMIA MIA.
NYUMBA ITAKUWA WAZI  TRH 30/03/2025 .
KUANGALIA NA KULIPA RUHUSA ITAKAYOKUWA WAZI NI YA CHINI.
BEI LAKI 4 KWA MWEZI MWEZI MIEZI 6
CONTACT: 0672 673363



















