2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F3bd6f388-ce5d-44e4-998d-807c518f9954.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F3bd6f388-ce5d-44e4-998d-807c518f9954.jpg&w=256&q=75)
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
USAFIRI UPO WA KUTOSHA KUFIKA KWENYE NYUMBA
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO LENYE MAKABATI #PUBLIC TOILET
INA FULL AIR CONDITION MAJI MOTO MAJI BARIDI
KODI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGASIMU O677370515