2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT 𝗮𝘁 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜 (350,000 × 6)
MPYA KABISA ZIKO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA BADO MADIRISHA TU YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA BARUTI 𝗸𝗺 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500 TU UKISHUKA DK 3 UPOGENITINI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300