2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
#BEI 550K X6
KODI LAKI TANO NA NUSU MALIPO NI MIEZI SITA PIA KUNA PESA YA TAHADHARI HAPA INAYOLIPWA SAMBAMBA NA KODI 550K
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DINNING SEHEM YA KULIA CHAKULA
#PUBLIC TOILET NJE
#FULL A.C
#CCTV CAMERA
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI FREE 24HRS
NYUMBA HIZI ZIPO #KIMARA_KOROGWE_KWA_MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA DK 3 TUH
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 20.04.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA IKIWA MPANGAJI ATAKUWEPO
KITEMO DALALI KIMARA GOBA
CONTACT
SMS CALL
0719745506 watsup
0741994657