2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM.1 KUTOKA LAMI BODA BUKU TUU.
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa Sana mno
Jiko lake lina jengwa kwa pembeni nje
Public toilet ipo nje
Maji yana flow chooni
Umeme Luku Yake mwenyewe
Maji meters yako dawasco
Nyumba ipo ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi ni 250,000X"6 "
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 250,000/=
---------
Contact Us:0712656027
WhatsApp:0712656027