2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
#APARTMENT_FOR_RENT_MBEZI_MWISHO_KIBANDA CHA MKAA
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📌SEBULE
📌KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
📌JIKO NZURI LENYE MAKABATI
📌CHOO CHA FAMILIA
📌UMEME LUKU YAKO
📌MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 350,000/=×6
CAUTION MONEY NI TZS 100,000/= [ HELA YA TAHADHARI YA KULINDA NYUMBA INALIPWA SAMBAMBA NA KODI YA NYUMBA]
NYUMBA IPO UMBALI WA KILOMETA 1KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI NA PARKING YA KUTOSHA KABISA
NYUMBA IPO WAZI NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747