2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6)KIMARA KOROGWE KILUNGULE 2KM BAJAJI ZIPO, BODA ZIPO...
IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
--------
SIFA ZAKE =
Vyumba 2VIWILI vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Public toilet
Jiko zuri
Tails
Gypsum
Public toilet ya nje
Rezev Simtank
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Full paving block
Electrical Security
Ndani ya fensi parking space ipo.
------
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
NB: ITAKUWA WAZI TAR 01/04/2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA
--------
NB =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO , NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE 01/4/2025 , RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO.
CONTACT US:-
0716223412
0683597453