2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6) KIMARA MWISHO 1.5KM BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO TAREHE 29/07/2025
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM I.7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI/1000/DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 5 TU UPO GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976018