2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYAA UKUBWA WASTANI
KODI 350,000X6
LOCATION:KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA SHUKIA SUKA
UMBALI DAKIKA 7 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE WASTANI
JIKO
PUBLIC TOILET
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU NA HII MOJA NDO IPO WAZI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
NDUGU MTEJA WAHI CHAPU NYUMBA ZA BARABARANI HAZIKAI HIZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637