2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIKO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA BADO MADIRISHA TU YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW 
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO ZURI KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI 500BTU UKISHUKA DK 3 UPOGENITINI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0716938128_0760097834 
#0692198834




















