2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA  INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI UMEME NA MAJI DAWASA INAPANGISHWA  IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK  15 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
--------
Ina vyumba  2 vya kulala kimoja master 
Sebule kubwa 
Jiko zuri 
Public toilet 
Rezev Simtank 
Tails ###gypsum 
Madirisha Aluminium 
UMEME Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni Mita yako
Full paving block 
Car parking space. 
-----
Kodi laki  400,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
0715949085
0782838336




















