2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA NYUMBA AINA TATU
KUNDI A:
CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO ZURI LENYEMAKABATI
KODI 300,000 X 6
INAJENGWA UMEME NA MAJI
KUNDI B:
CHUMBA SEBULE MASTER JIKO ZURI LENYEMAKABATI
KODI 250,000
TOFAUTI YA HIZI NYUMBA MBILI NI UKUBWA
KUNDI C:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 350,000 X 6
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 15 KWA MIGUU
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM# 0674860193