2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







WAHI MTEJA SIO YA KUKOSA NYUMBA NZURI SANA
#HIZI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IKO WAZI 
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#HITER MAJI MOTO 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA BUSTANI SAFI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 UTACHAGUA WEWE MTEJA
0715949085
0782838336




















