2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(380,000X6)KIMARQ MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 700...HAPA NJOO NA CROWN...NJIA SAFI KABISA
APARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA 500/=
*KODI 380,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________