2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATMENT MPYAA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 450,000X6
ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA MAKINI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA DINNING TABLE
CHOO CHA FAMILIA
JIKO KUBWA LINA FUNGWA MAKABATI YA JUU NA CHINI
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
NDANI YA FENSI PACKING SPACE KUBWA SANA PEVING ZINAWEKWA
PIA KUNA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI 350,000X6
NYUMBA HIZI ZITAKUWA TIYALI KUHAMIA TAREHE 30/11/2025
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU AU BODA 1000
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE 15000
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















