2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
200,000x6 KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 10 KWA KUTEMBEA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO ZURI
SEBULE KUBWA
UMEME LUKU MNASHEA WAWILI
MAJI MITA YAKO NA TANKI LAKO LA MAJI
KODI 200,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419
###0760830706