2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KALI SANA INA PANGISHWA
LOCATION: #KIMARA_STOP_OVER
#KODI 400,000X6
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA WAPO MASTER
SEBULE KUBWA
#CHOO CHA FAMILIA
#JIKO LINA WEKWA MAKABATI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENS YAKE PEKEAKE
ELECTRIC FENCE
CCTV CAMERA
AC INA WEKWA
NA FENI ZINA FUNGWA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1 TU AU KWA MGUU DAKIKA 15
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343