2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🔰 Inapangishwa KIMARA BARUTI
📍 Kodi 300,000/= x6
📍 Wahii huwa haikai sana, Nyumba za karibu na barabara zinasumbua sasa
____
___
• Vyumba Viwili vya Kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule Kubwa
• Jiko Kubwa
• Public Toilet Nje
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ndani Ya Fensi
* Parking
#Note:- Itakuwa wazi Kesho, kuona na kulipia ruksa
_____
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni Tsh 300,000/=
#Kupelekwa Kuona 15,000/=
№:- 0753172516