2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=Γ3
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 350,000/=Γ3
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact
0652472014
0652472014