2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1.5 KUTOKA LAMI KUINGINA TAR15.9.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE YA WASTANI
JIKO LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 350,000X3
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI