2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara mwisho km 2t usafiri upo bajaji na boda
Kodi 350000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128