2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA WAPANGAJI 2 TU
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO KUBWA
#CHOO NA BAFU VYA NDANI
#DAINING
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAHAZARI 200,000 ITALINDA NYUMBA
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087