2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 300,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
.
LOCATION: KIMARA SUKA UMBALI WA DK 5 MPKA 8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
.
NI APARTMENT NZURI SANA
.
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI
.
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.