2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Njia Ya Airport.
- Vyumba viwili vikubwa sana
- Sebule kubwa
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Mlinzi
- Fence
Kodi 700,000/= MIEZI MITATU NA KUENDELEA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.