2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Kinyerezi Kibaga.
Ni baada ya Kinyerezi Park njia ya kuelea Mahakamani Kinyerezi.
Mtaa unejengeka kwanzia lami mbaka getini.
Kwa kifupi kwa wale wasiopenda uswahili apa ni sehemu bora kabisa.
Kiwanja kina ukuta oande tatu tayari.
Ndani kuna nyumba ya kuendeleza au kuvunja.
Panafaa kwa ujenzi wa makazi. Kama una dream house yako basi ukijenga apo itakaa safi kabisa.
Kwa wale wawekezaji pia apa panafaa sana especially apartments (nyuma kuna apartments za vyumba viwili kodi 600,000/=).
Kwakifupi ni super offer.
Sqm 900
Mil 95
Service charge 30,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.