2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam







:
APARTMENT MPYA KUBWA ZA KISASA
APARTMENT HIZI ZIPO #MADALE_MWISHO
KUTOKA BARABARA KUU YA MADALE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NDUGU MTEJA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#FENSI KUBWA ULIYOZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
BEI NI 800,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 8
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168