2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam







#APARTMENTS #MPYAAA KABİSAAA YA #KİFAMİLİA İNAPANGİSHWA #GOBA_NJİA_4 MADALE ROAD MİTA 800 TOKA #LAMİ
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko ( LİNAFUNGWA MAKABATİ)
Choo cha familia
Ac
Heater
Hapa mpo 5 tu
Parking
Maji na Umeme mita yako
__
Kodi 600,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
👇👇👇
#NOTE: HAPA HAPA PİA KUNA YA 750,000/= × 6
TOFAUTİ YAKE Nİ UKUBWA WA NYUMBA
__
0677445508
_______________
PİGA SİMU KWA HUDUMA YA HARAKA SANA 🔥🔥🔥