2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


🏡 Apartments za Kupangisha
Madale (📍Karibu na Kituo cha Polisi)
🛡️ Zipo ndani ya fensi – salama na tulivu
📍 Eneo: Madale, jirani na kituo cha polisi
💰 Kodi: Tsh 700,000 kwa mwezi
✨ Muundo wa kila apartment:
🛏️ Vyumba 2 (1 ni Master)
🛋️ Sebule kubwa yenye nafasi
🍽️ Jiko kubwa la kisasa
❄️ A/C kwenye Master bedroom
🚪 Usalama wa kutosha – geti la kuaminika
📞 Wasiliana nasi:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp