2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
π° Inapangishwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA
π Kodi 450,000/= Γ6
__
_______
β’ Vyumba 2 vya kulala vikubwa (Kimojawapo ni master)
β’ Sebule Kubwa
β’ Jiko Kubwa
β’ Public toilet
* Ndani ya Fensi Ziko 2 tu
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Parking Ipo
* Mazingira Mazuri
#Umbali wa Km1 usafiri wa bajaji upo, na ukishuka kwenye bajaji unaiona nyumba
#NOTE: Inakuwa wazi Tarehe 15/10/2024, kulipia ruksa, utaona had ndani tukimkuta mpangaji
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 450,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
β:- 0753172516