2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE
LOC:MBEZI BEACH MAKONDE
KUTOKA LAMI MITA 100
*BEI MILIONI 700 maongezi*
ENEO UKUBWA SQM 1200
VYUMBA 6, VIWILI MASTER
*Ukiachana na nyumba kubwa*
Kuna Masterbedroom 4 nje
Kodi 150k kwa mwezi.
Chumba, Sebule,Jiko choo
zipo 2, kodi 250k kwa mwezi
Vyumba viwili zipo 2,
kod 300k kwa mwezi
*Nyumba zote zina Wapangaji*
Nje kuna frem 4 kila frem
*Kodi 70k kwa mwezi na zote zina wapangaji*