2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
.
Nyumba inapangishwa Mbezi kwa msuguri
Ina vyumba viwili vya kulala
Sebule
Jiko
Kodi 400,000/= Tzs kwa mwezi
Umbali wa dk 12 toka main road
Inakuwa wazi tarehe 20/01/2025
Kuona na kulipia ruksa
Viewing fee 20,000/= Tzs
Agency fee 400,000/= Tzs
Piga: 0769138053