2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENTY INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
DK 18 KUTEMBEA BODA 1000/
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR, INASEBULE, INAJIKO, NA PABLICK, TOILETY
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY, GYUPUSAM, ALUMINIUM,
IPO NDANI YA FENSI
KODI 300 X 6
KUONA NYUMBA 15000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747