2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 13 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE INAJIKO KUBWA NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI WAPANGAJI 5
FULL PEVING BLOCK
KODI 350,000/=X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179