2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STENDI ALONE // NYUMBA NZURI SANA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI
====
INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI STENDI KUU YA MKOA NI DK 8 TUU
KUTEMBEA KWA MGUU
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LAKUJIACHIA NA
CHOO CHA PUBLIC
UMEME NA MAJI DAWASA
====
๐ฐKODI. 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====PIGA SIMU#0625606710